Nasadiki kwa Mungu Mmoja (Muumba Vyote)

Nasadiki kwa Mungu Mmoja (Muumba Vyote)
Performed by-
CategoryTBA
Views14,676

Nasadiki kwa Mungu Mmoja (Muumba Vyote) Lyrics

  1. Nasadiki kwa Mungu mmoja
    (Muumba vyote nasadiki) *2

  2. Nasadiki kwa Mungu mmoja Baba Mwenyezi
    Muumba Mbingu na dunia na vilivyomo
  3. Nasadiki kwa Yesu Kristu Mungu Mwana
    Kashuka toka Mbinguni kutuokoa
  4. Kazaliwa naye Bikira bila kuumbwa
    Kasulubiwa msalabani na akazikwa
  5. Siku ya tatu kafufuka toka kwa wafu
    Kuume kwa Mungu Baba anapoketi
  6. Atarudi kuwahukumu wazima na wafu
    Kwa Roho Mtakatifu ninasadiki
  7. Kanisa moja takatifu la Katoliki
    Kwa ubatizo na maondoleo ya dhambi