Natamani Uwe Wangu

Natamani Uwe Wangu
ChoirSt. Cecilia Mirerani
AlbumMaajabu ya Mungu
CategoryHarusi
ComposerBernard Mukasa

Natamani Uwe Wangu Lyrics

1. Nimekupenda nimevutiwa na wewe sikia—
Ninatamani niwe wako uwe wangu siku zote
Ndiwe chaguo la moyo wangu kwenye hii dunia—
Ninatamani niwe wako uwe wangu siku zote


Nitakusifu bila aibu hadharani (wewe)
Nyimbo za shangwe hazitakauka kinywani
(mwangu) Ingia mwangu,
Yesu wangu kaa nami siku zote2. Nimewaona rafiki wengi wanaonivizia—
Lakini wewe ndiye rafiki wa kweli na huria—

3. Ulinipenda hata kabla mimi sijakusikia—
Msalabani bila hatia Yesu ukanifia—

4. Katika raha usikawie njoo kufurahia-—
Na kwenye shida sitachelewa nitakukimbilia-—

5. Nitakusifu milele yote nitakuhimidia-—
Nitaziimba fadhili zako nitazisimulia—-

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442