Ndimi Mtumishi wako Lyrics

NDIMI MTUMISHI WAKO

Ndimi mtumishi wako,
Nitafurahi kwako Bwana (mimi) *2

 1. Nitajongea altare ya Mungu,
  Mungu wa raha ya roho yangu
 2. Machoni pangu meza imepambwa,
  wanatazama adui zangu
 3. Malishoni mwa majani mabichi,
  ananitunza nikiwa naye
 4. Sifa ziende kwa Baba na Mwana,
  na kwake Roho milele yote
Ndimi Mtumishi wako
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments