Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki
Alt TitleNdiwe Mwenye Haki
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
Views6,417

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki Lyrics

  1. {Ee Bwana Bwana, Ee Bwana Bwana
    Wewe ndiwe mwenye haki } *2
    { Na hukumu zako (na hukumu zako )
    Na hukumu zako hukumu zako ni za adili } *2

  2. Kama zilivyo rehema zako, unitendee mtumishi wako
    Na amri amri zako, unifundishe unifundishe
  3. Mimi ni mtumishi wako, unifahamishe unifahamishe
    Nipate kuzitoa, shuhuda zako shuhuda zako
  4. Bwana uwape amani wakungojao,
    Ili watu wawasadiki manabii wako
    Usikilize sala ya mtumwa wako, na ya taifa lako Israeli