Neema Hiyo

Neema Hiyo
ChoirSt. Austins Choir Msongari
AlbumBendera Inapepea
CategoryThanksgiving / Shukrani

Neema Hiyo Lyrics

[t] Neema hiyo hiyo ho -
[w] Neema imefunuliwa,
Neema kutoka mbinguni, hiyo hiyo, imeenea1. Neema hiyo, neema hiyo hiyo - imeenea
Neema hiyo, neema ya mbinguni - imeenea

2. Neema hiyo, neema kwa wazazi - imeenea
Neema hiyo, neema kwa watoto - imeenea

3. Neema hiyo, neema kwa mapadri - imeenea
Neema hiyo, neema kwa watawa - imeenea

4. Neema hiyo, neema kwa walei - imeenea
Neema hiyo, neema kwa wakristu - imeenea

5. Neema hiyo, neema kwa wagonjwa - imeenea
Neema hiyo, neema kwa yatima - imeenea

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442