Neema na Rehema
| Neema na Rehema | |
|---|---|
| Performed by | St. Joseph Migori |
| Album | Nimeteuliwa |
| Category | Sign of Peace/Kutakiana Amani |
| Composer | Alfred Ossonga |
| Views | 4,371 |
Neema na Rehema Lyrics
- Neema na rehema zina wateule wa Mungu *2
Wenye kumtumaini Mungu
Watang`aa kama dhahabu (kama dhahabu)
Wenye kumtumaini Mungu
Watapata neema zake (neema zake)
Watametameta kama nyota
Watarukaruka mbele zake Mungu - Furaha na amani ina wateule wa Mungu
- Upendo na umoja una wateule wa Mungu
- Uzima wa milele una wateule wa Mungu