Neema ya Roho

Neema ya Roho
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryRoho Mtakatifu (Pentecoste)
ComposerJohn Mgandu
Views5,731

Neema ya Roho Lyrics

  1. { Neema ya Roho Mtakatifu iko na nguvu na uwezo,
    Wa kutuhakikishia sisi kwamba ana uwezo,
    kusafisha dhambi zetu, kusafisha dhambi zetu } *2

  2. Na kutuunganisha sisi na Mungu kwa njia ya imani
    Imani kwa Yesu Kristu kwa njia ya ubatizo
  3. Kwa njia ya Roho Mtakatifu, tunashiriki mateso
    Mateso ya Yesu Kristu kwa kuifia dhambi