Neena Ee Bwana

Neena Ee Bwana
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views4,985

Neena Ee Bwana Lyrics

  1. Nena ee Bwana - Nena Bwana *2
    Neno - Neno lako Bwana linatufariji
    Nalo ni uzima Nena Bwana

  2. Neno lako ni Neno la kweli - Nena Bwana
  3. Neno lako ni mwanga gizani -
  4. Neno lako ni raha shidani -