Neno Hili
| Neno Hili | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 7,229 |
Neno Hili Lyrics
- [b] Neno hili ni neno la kweli -
[w] (Tena jema tena jema) tena jema *2[t] Neno -
[w] Neno hili ndugu lakuita wewe (wewe)
Neno la uzima (Tena) tena jema - [b] Bwana Yesu sasa yuko mlangoni -
[w] Anabisha anabisha, anabisha *2