Neno Hili

Neno Hili
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views5,838

Neno Hili Lyrics

  1. [b] Neno hili ni neno la kweli -
    [w] (Tena jema tena jema) tena jema *2

    [t] Neno -
    [w] Neno hili ndugu lakuita wewe (wewe)
    Neno la uzima (Tena) tena jema

  2. [b] Bwana Yesu sasa yuko mlangoni -
    [w] Anabisha anabisha, anabisha *2