Neno La Bwana ni Chakula
| Neno La Bwana ni Chakula | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 5,044 |
Neno La Bwana ni Chakula Lyrics
Neno la Bwana ni chakula
Neno la Bwana ni kinywaji- Hicho kisomo chako kitaiisha
Bali neno lake litasimama - Yote ya ulimwengu yatapita
Bali Neno lake litasimama - Usidanganyike na ya ulimwengu
Simama imara simamia Yesu