Neno la Mungu
Neno la Mungu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 6,484 |
Neno la Mungu Lyrics
Neno la Mungu Mwenyezi, neno lake linakuja
Sisi sote tulipokea neno lake kwa furaha
Lafukuza mashetani na mizimu ya kutisha
Laleta upatanisho kwa wote wenye chuki
Vijana kwa vijana, watoto na wazee
Vilema na viziwi, vipofu na viwete
Neno faraja yetu tulipokea kwa furaha- Neno lake Mungu ni mwangaza wetu
tulipokee sisi tufurahie - Neno lake Mungu kimbilio letu tulipokee . . .
- Neno lake Mungu ni mwanga tulifurahie . . .