Neno Litasimama
Neno Litasimama | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 19,250 |
Neno Litasimama Lyrics
{ Neno litasimama, neno litasimama
Ya ulimwengu yatapita, lakini neno litasimama }*2- Ujana wako utapita, uzee wako utapita
Ya ulimwengu yatapita, lakini neno litasimama - Uwongo wako utapita, ulevi wako wako utapita . .
- Kisomo chako kitapita, na cheo chako kitapita . . .
- Ya ulimwengu yatapita, ya wanadamu yatapita . . .