Neno Moja Nimelitaka
Neno Moja Nimelitaka | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Mbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4) |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | Bernard Kiundi |
Views | 5,866 |
Neno Moja Nimelitaka Lyrics
{Neno moja nimelitaka nimelitaka kwa Bwana
Ndilo - Nalo ndilo nitakalolitafuta litafuta }*2
{Nikae nyumbani mwako (Bwana)
siku zote za maisha yangu,
Niutazame uzuri, uzuri, uzuri wako Bwana } *2- Nikae nyumbani mwako siku za maisha yangu,
Nikusifu wewe Bwana daima milele - Siku zangu zote Bwana, nikuabudu wewe,
Na uwe sitara yangu, unifadhili Bwana