Neno Moja Nimelitaka Lyrics

NENO MOJA NIMELITAKA

@ Bernard Kiundi

{Neno moja nimelitaka nimelitaka kwa Bwana
Ndilo - Nalo ndilo nitakalolitafuta litafuta }*2
{Nikae nyumbani mwako (Bwana)
siku zote za maisha yangu,
Niutazame uzuri, uzuri, uzuri wako Bwana } *2

  1. Nikae nyumbani mwako siku za maisha yangu,
    Nikusifu wewe Bwana daima milele
  2. Siku zangu zote Bwana, nikuabudu wewe,
    Na uwe sitara yangu, unifadhili Bwana
Neno Moja Nimelitaka
COMPOSERBernard Kiundi
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4)
CATEGORYEntrance / Mwanzo
  • Comments