Ni Nani Amezaliwa
Ni Nani Amezaliwa Lyrics
- Ni nani amezaliwa, ni Yesu amezaliwa
Mwokozi amezaliwa, Siku ya leo Krismasi
Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi
Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi
- Na nyota nzuri ikaonekana, kule Mbinguni kwa Mungu baba
Tumshangilie ee Mwokozi Yesu amezaliwa
- Bethlehem tushangilie, Mwokozi Yesu amezaliwa
Amezaliwa aa Bethlehem siku ya leo Krismasi
- Tushangilie Mwokozi Yesu, amezaliwa Krismasi
Tushangilie, siku ya leo tupige ngoma
- Mama Maria asante sana, kwa kumzaa Mwokozi Yesu
Tushangilie ee Mwokozi Yesu amezaliwa