Ni Nani Amezaliwa Lyrics

NI NANI AMEZALIWA

 1. Ni nani amezaliwa, ni Yesu amezaliwa
  Mwokozi amezaliwa, Siku ya leo Krismasi

  Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi
  Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi

 2. Na nyota nzuri ikaonekana, kule Mbinguni kwa Mungu baba
  Tumshangilie ee Mwokozi Yesu amezaliwa
 3. Bethlehem tushangilie, Mwokozi Yesu amezaliwa
  Amezaliwa aa Bethlehem siku ya leo Krismasi
 4. Tushangilie Mwokozi Yesu, amezaliwa Krismasi
  Tushangilie, siku ya leo tupige ngoma
 5. Mama Maria asante sana, kwa kumzaa Mwokozi Yesu
  Tushangilie ee Mwokozi Yesu amezaliwa
Ni Nani Amezaliwa
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments