Ni Neno Toka kwa Bwana
Ni Neno Toka kwa Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 12,136 |
Ni Neno Toka kwa Bwana Lyrics
- { Ni neno toka kwa Bwana linakuja,
Ni neno toka kwa Bwana linakuja } *2Lisikie neno, neno lake Bwana
Ni neno toka kwa Bwana linakuja - Injili toka kwa Bwana inakuja . . .
- Ushindi toka Bwana unakuja . . .
- Baraka toka kwa Bwana zinakuja . . .
- Hekima toka kwa Bwana inakuja . . .