Ni Wakati wa Amani
Ni Wakati wa Amani | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Sign of Peace/Kutakiana Amani |
Views | 5,574 |
Ni Wakati wa Amani Lyrics
- Ni wakati wa amani -Yesu atupenda
Amani yake Bwana -Yesu atupenda
Ye ye ye ye ye ye - Yesu atupenda
Wo wo wo wo wo -Yesu atupenda - Ni wakati wa upendo . . .
- Ni wakati wa baraka . . .
- Ni wakati wa fadhili . . .
- Ni wakati wa neema . . .