Nifanye Nini

Nifanye Nini
Performed bySt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryGeneral
Views4,670

Nifanye Nini Lyrics

  1. Nifanye nini Mungu wangu
    Ili nikae nyumbani kwako daima *4

  2. Nainua moyo wangu kwako wewe Mungu wangu,
    Unikinge na uiovu tumaini wewe tu
  3. Nijulishe njia zako, nifundishe ukweli
    Hekimayo niongoze, tumaini wewe tu.
  4. Ewe Baba ukumbuke wema zako milele
    Nifutie dhambi zangu, tumaini wewe tu
  5. Nitazame kwa huruma ewe Mungu amini
    Nitubishe mwenye dhambi tumaini wewe tu