Nifanye Nini

Nifanye Nini
ChoirSt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryGeneral

Nifanye Nini Lyrics

Nifanye nini Mungu wangu
Ili nikae nyumbani kwako daima *4

 1. Nainua moyo wangu kwako wewe Mungu wangu,
  Unikinge na uiovu tumaini wewe tu
 2. Nijulishe njia zako, nifundishe ukweli
  Hekimayo niongoze, tumaini wewe tu.
 3. Ewe Baba ukumbuke wema zako milele
  Nifutie dhambi zangu, tumaini wewe tu
 4. Nitazame kwa huruma ewe Mungu amini
  Nitubishe mwenye dhambi tumaini wewe tu

Favorite Catholic Skiza Tunes