Nijaposema Kwa Lugha
Nijaposema Kwa Lugha | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Love |
Views | 22,944 |
Nijaposema Kwa Lugha Lyrics
- Nijaposema kwa lugha, kushinda malaika jameni
Kama mimi sina upendo mimi ni kitu bureUpendo huvumilia, upendo hauoni mabaya
Upendo hauna wivu, upendo hauchoki jamani - Nijapohubiri sana, mbele ya watu wengi jamani,
Kama mimi sina upendo mimi ni kitu bure - Nijapotoa mwili wangu, niungue motoni jamani,
Kama mimi sina upendo mimi ni kitu bure