Nijaposema Kwa Lugha

Nijaposema Kwa Lugha
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CategoryLove
ComposerJ. C. Shomaly
Views14,789

Nijaposema Kwa Lugha Lyrics

  1. [b] Nijaposema tena kwa lugha
    za wanadamu na za malaika, mimi
    /s/ Kama sina upendo, kama sina upendo,
    kama sina upendo mimi sifai kitu
    /a/ Kama sina upendo kama, mimi sina upendo
    kama sina upendo mimi sifai kitu
    /t/ Kama sina upendo u-upendo,
    sina upendo, sina upendo -fai kitu
    /b/ kama sina upendo u-upendo sina,
    upendo sifai kitu

  2. [s] Nikiutoa mwili wangu niungue moto,
    kama sina upendo mimi sifai kitu
  3. [t] Hata nikiimba pia nirukeruke,
    kama sina upendo sifai kitu
  4. [a] Hata na mimi nikitoa mali yangu yote,
    kama sina upendo mimi sifai kitu
  5. [b] Nikitoa mali yangu kwa maskini,
    kama mimi sina upendo sifai kitu