Niko Tayari Kulitangaza
Niko Tayari Kulitangaza | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 3,880 |
Niko Tayari Kulitangaza Lyrics
- Niko tayari kulitangaza neno la Mungu Baba *2
Popote duniani, neno la Mungu Baba *2
- Niko tayari kuutangaza upendo wa Mungu Baba
- Niko tayari kuzitangaza baraka za Mungu Baba
- Niko tayari kuitangaza neema ya Mungu Baba
- Niko tayari kuutangaza ushindi wa Mungu Baba
- Niko tayari kuitangaza Injili ya Mungu Baba