Nimefufuka na Bado
| Nimefufuka na Bado | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Pasaka (Easter) |
| Views | 3,740 |
Nimefufuka na Bado Lyrics
Nimefufuka na bado pamoja nawe
Aleluya wauweka mkono wako juu yangu- Ee Bwana mchungaji wangu,
popote wanifahamu - Hakuna chochote kwangu,
usikifahamu, Bwana - Hata nikiomo mbingu,
pia niende kuzimu - Mtukufu Baba, mwana
na roho mtakatifu.