Nimekuchagua Wewe
Nimekuchagua Wewe | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 8,590 |
Nimekuchagua Wewe Lyrics
Nimekuchagua wewe, nimekuchagua wewe
Kati ya wanawake wote, Ili wewe uwe msaidizi wangu- Nimekupenda wewe,
Kati ya wanawake duniani - Wewe ni jicho langu,
Wewe ni mboni langu la maisha - Baraka za Mungu ziwe,
Pamoja nanyi daima siku zote