Nimekuja Kwako
Nimekuja Kwako | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 10,986 |
Nimekuja Kwako Lyrics
[s:] Nimekuja kwako,
[w:] Nimekuja kwako kukuabudu *2
[s/b:] Ninakuabudu kwa sala (pia) kwa nyimbo.
[a/t:] Kwa sala nakutukuza kwa nyimbo
[w:] Nimekuja kwako kukuabudu *2- Ninakusifu ee Bwana kwa kuwa wewe ni mwema,
Na huruma yako ni ya milele *2 - Ninatubu dhmabi zangu kwa kuwa ni mkosefu
Na msamaha wako ninakuomba *2 - Atukuzwe Mungu Baba pia na mwana na roho
Kama mwanzo sasa mpaka milele