Nimekuja Kwako Lyrics

NIMEKUJA KWAKO

[s:] Nimekuja kwako,
[w:] Nimekuja kwako kukuabudu *2
[s/b:] Ninakuabudu kwa sala (pia) kwa nyimbo.
[a/t:] Kwa sala nakutukuza kwa nyimbo
[w:] Nimekuja kwako kukuabudu *2

  1. Ninakusifu ee Bwana kwa kuwa wewe ni mwema,
    Na huruma yako ni ya milele *2
  2. Ninatubu dhmabi zangu kwa kuwa ni mkosefu
    Na msamaha wako ninakuomba *2
  3. Atukuzwe Mungu Baba pia na mwana na roho
    Kama mwanzo sasa mpaka milele
Nimekuja Kwako
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
  • Comments