Nimeona Maji
Nimeona Maji | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | F. A. Nyundo |
Views | 7,883 |
Nimeona Maji Lyrics
Nimeona maji,
Nimeona maji
Yakitoka hekaluni upande wa kuume, aleluya
Na watu wote waliofikiwa, na maji hayo wakaokoka
Nao wakasema, aleluya, aleluya- Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake ni za milele - Atukuzwe Baba na mwana na Roho Mtakatifu
- Kama mwanzo na sasa na siku zote amina