Nimepiga Vita
Nimepiga Vita Lyrics
Nimepiga vita, vilivyo vyema,
Vita vya roho na mwendo nimeumaliza *2
Sasa nangojea kupewa taji ya washindi
[Na] sio mimi peke yangu *2
Pamoja na wateule waloshinda vita
- Ninakuagiza mbele ya Mungu na mbele ya Kristu
Ukalihubiri Neno uwe tayari siku zote
Ukaripie unene kwa uvumilivu
- Nao watajiepusha wasisikie yalo kweli
Mimi nimevumilia hadi ninaoga mikono
Bali wewe uwe na ukamilifu katika mambo yako
- Uvumilie mabaya fanya kazi ya kuhubiri
Uihubiri injili uitimize huduma yako
Sasa wakati wa kufa kwangu umefika