Nimeteuliwa na Mungu

Nimeteuliwa na Mungu
ChoirSt. Joseph Migori
AlbumNimeteuliwa
CategoryUtume wa Uimbaji
ComposerAlfred Ossonga

Nimeteuliwa na Mungu Lyrics

Nimeteuliwa na Mungu Baba nihubiri kwa kuimba*2
{ Nyimbo zinafundisha, nyimbo zaburudisha,
Nyimbo zinafariji, roho zilizovunjika } *21. Kila niamkapo nitamwimbia Bwana Mungu wangu
Nitaimba nyimbo za kumtukuza aliyeniumba

2. Mungu Baba Mwenyezi kaniteua mimi nihubiri
Nihubiri kwa nyimbo nyimbo za shangwe nyimbo za Mbinguni

3. Nafundisha kwa nyimbo naburudisha na ninafariji
Natangaza ufalme wa Mungu Baba kwa njia ya nyimbo

4. Sifa za Mungu Baba zimo kinywani mwangu siku zote
Mimi nitaziimba sifa za Mungu daima milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442