Nimevipiga Vita
Nimevipiga Vita | |
---|---|
Performed by | St. Bernardette Kisii |
Album | Nimevipiga Vita |
Category | Tafakari |
Views | 92,068 |
Nimevipiga Vita Lyrics
{ Nimevipiga vita, nimevipiga vita vilivyo vizuri } *2
{ Mwendo - mwendo nimeumaliza
Mwendo - imani nimeilinda
Mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda } *2- Baada ya hayo nimewekewa taji,
Nimewekewa taji, taji ya ahadi - Sasa namiminwa, nao wakati wangu
Wa kufariki kwangu, nao umefika - Ataniokoa na kila neno baya
Hadi niufikie ufalme wa mbingu - Nami nitaishi kwake Baba milele
Tena nikimwimbia Mungu aleluya