Nimevunja Mkataba Lyrics

NIMEVUNJA MKATABA

@ Victor Aloyce Murishiwa

 1. Lo Kumbe ni wewe shetani umeniletea matatizo yote haya
  Ondoka kwangu haraka kwa jina la Yesu ondoka kwangu
  Lo kumbe ni wewe shetani ulisababisha nikamsahau Mungu
  Ondoka kwangu haraka kwa jina la Yesu ondoka kwangu

  { Nimevunja mkataba na wewe (shetani)
  Ondoka, ondoka nasema
  Namkaribisha Yesu moyoni mwangu }*2

 2. Lo kumbe ni wewe shetani ulisababisha nikafungwa gerezani-
  Lo kumbe ni wewe shetani nikaipokea rushwa-
 3. Lo kumbe ni wewe shetani ulinipeleka katika nguvu za giza-
  Lo kumbe ni wewe shetani uliniongoza katika njia ya dhambi-
 4. Lo kumbe ni wewe shetani unakosanisha ndugu nao majirani-
  Lo kumbe ni wewe shetani unasababisha vifo vinakuwa vingi
Nimevunja Mkataba
COMPOSERVictor Aloyce Murishiwa
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMMSHIPI (VOL. 22)
CATEGORYTafakari
MUSIC KEYG Major
TIME SIGNATURE2
4
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
NOTES Open PDF
 • Comments