Nimezitambua Hila za Shetani
Nimezitambua Hila za Shetani | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Zimmerman |
Album | Nimezitambua Hila (Vol 5) |
Category | Tafakari |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,656 |
Nimezitambua Hila za Shetani Lyrics
Nimezichambua hila zake shetani na kanuni zake
Enyi wapenzi sikilizeni haya kwa makini
Sheria pia taratibu zake zote na maagizo yake
Enyi wapenzi sikilizeni haya kwa makini- Uwongo na kiburi - sheria za Shetani hizo
Uzinzi na ulevi - kanuni za shetani hizo
Wivu na majivuno - sheria za Shetani hizoHizo! Ndugu yangu jihadhari sana
Hii ni hatari, tupige magoti tusali sana.
Yasije yakatukumba - Ulaji wa rushwa -
Uvivu na uchawi -
Utovu wa nidhamu - - Nguo zenye kubana -
Na zile fupi fupi -
Mavazi ya kihuni - - Kuiba kudhulumu -
Kusengenya wengine -
Udokozi umbeya - - Kudharau wenzako -
Matusi na karaha -
Hirizi na tunguri -