Ninazo sababu
Ninazo sababu | |
---|---|
Performed by | St. Francis of Assisi Kariobangi |
Album | Paazeni Sauti |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Composer | Alfred Ossonga |
Views | 4,043 |
Ninazo sababu Lyrics
Ninazo sababu za kutoa shukrani zangu
Ninakushukuru Bwana kwa ukarimu wako
Ee Baba asante [sana] kwa upendo wako
Pokea zawadi [hii], ninakutolea
Â- Enyi watu wa Mungu, njooni kwa masifu
Kusanyikeni leo, mbele zake Bwana
[Piga] pi- kelele, [piga] piga ngoma
[Shangwe] sha- deremo, [piga] piga ‘kofi
 - Mbingu pia dunia, ni mali ya Bwana
Mito pia bahari, ni mali ya Bwana
[Tuna]tu- sababu, [za ku]za- shukuru
[Bwana]bwa- pokea, [shukra]shu- ni zetu
 - Uhai wangu mimi, ni mali ya Bwana
Sauti yangu nzuri, Bwana amenipa
[Bwana] bwa- asante, [kwa we] kwa- ‘ma  wako
[Naku] na- kwimbia, [naku] kuinua
 - Natembea mchana, Bwana aniongoza
Ninalala usiku, Bwana hunilinda
[Bwana] bwa- asante, [kwa we] kwa- ‘ma  wako
[Naku] na- shukuru, [naku] kutukuza