Nishukuru na Nifanye Nini
Nishukuru na Nifanye Nini | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Views | 3,744 |
Nishukuru na Nifanye Nini Lyrics
Nishukuru na nifanye nini
{ Nishukuru nifanye nini au nikulipe nini
Kwa mema mengi unayonipa
Mungu wangu ninashukuru } *2
Ninapolala na kuamka, wewe wanijua
Ninapokula pia kuvaa, wewe wanijua
(sasa) nishukuru nifanye nini Mungu wangu- Wanilinda hatarini ninapoanguka
Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu - Kula na kulala kwangu wajua wewe
Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu - Uliniumba mimi bila ya kujua
Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu