Login | Register

Sauti za Kuimba

Nishukuru na Nifanye Nini Lyrics

NISHUKURU NA NIFANYE NINI

Nishukuru na nifanye nini
{ Nishukuru nifanye nini au nikulipe nini
Kwa mema mengi unayonipa
Mungu wangu ninashukuru } *2
Ninapolala na kuamka, wewe wanijua
Ninapokula pia kuvaa, wewe wanijua
(sasa) nishukuru nifanye nini Mungu wangu

  1. Wanilinda hatarini ninapoanguka
    Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu
  2. Kula na kulala kwangu wajua wewe
    Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu
  3. Uliniumba mimi bila ya kujua
    Nishukuru vipi na vipi Mungu wangu
Nishukuru na Nifanye Nini
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
  • Comments