Nitachezacheza
Nitachezacheza | |
---|---|
Alt Title | Nitakwenda Kwa Shangwe |
Performed by | St. Joseph Migori |
Album | Nitachezacheza |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | Alfred Ossonga |
Views | 16,455 |
Nitachezacheza Lyrics
- Nitakwenda kwa shangwe na vigelegele
Niingie nyumbani mwa Bwana Mungu wetuNitacheza, nitaruka, nitaimba wimbo ule mtamu
Baba njooni, mama njooni, tufurahi mbele za Mungu wetu - Njooni nyote wazee vijana na watoto
Mshangilieni leo nyumbani mwake Bwana - Nitatangaza sifa zake Mungu Mwenyezi
Kwenye kusanyiko nitakuimbia wewe - Nitasema asante kwake Mola Rabuka
Kwa ukarimu wako usio na kifani - Nitatoa shukrani zangu kwako Muumba
Nitakushukuru leo kesho na daima