Nitajongea Altare
Nitajongea Altare Lyrics
- Nitajongea altare yako, ee Bwana
Nitajongea altare yako, ee Bwana
Bwana nipokee nakuja
{ Ninakuja kwako, ee Bwana, kukupokea ee Bwana
Kwani wewe ndiwe uzima } *2
- Chakula chenye uzima, ee Bwana . . .
Huwashibisha wanyofu, wa moyo . . .
- Kinywaji chenye uzima, ee Bwana . . .
Huwaponya wenye dhambi, ee Bwana . . .
- Naja sasa kwako Bwana, nipokee . . .
Nipe neema zako Bwana, nipone . . .
- Moyo wangu meokoka, ee Bwana . . .
Kukupokea ee Bwana, leo hii . . .
- Vile ulivyomsamehe, Magdalina . . .
Nami naja kwako Bwana, nisamehe . . .
- Njoo Bwana njoo, njoo kwangu . . .
Usikawie njoo Bwana, niponye . . .