Nitajongea Altare ya Mungu

Nitajongea Altare ya Mungu
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views4,174

Nitajongea Altare ya Mungu Lyrics

  1. Nitajongea altare ya Mungu
    Aliye raha na roho yangu

  2. Asifiwe Baba Mwana na Roho,
    Siku zote hata milele
  3. Malishoni mwa majani mabichi,
    Hunilaza nikiwa naye
  4. Machoni pangu ameniandalia ,
    Karamu kuu kwa watesi wangu
  5. Mezani pake ameniandalia,
    Karamu kuu kwa watesi wangu