Nitajongea Altare ya Mungu

Nitajongea Altare ya Mungu
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Nitajongea Altare ya Mungu Lyrics

Nitajongea altare ya Mungu
Aliye raha na roho yangu

 1. Asifiwe Baba Mwana na Roho,
  Siku zote hata milele
 2. Malishoni mwa majani mabichi,
  Hunilaza nikiwa naye
 3. Machoni pangu ameniandalia ,
  Karamu kuu kwa watesi wangu
 4. Mezani pake ameniandalia,
  Karamu kuu kwa watesi wangu