Nitajongea Altare Yako
| Nitajongea Altare Yako | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Entrance / Mwanzo | 
| Views | 7,001 | 
Nitajongea Altare Yako Lyrics
- Nitajongea altare yako,
 Furaha yangu na heri yangu siku zote
- Peleka mwanga wako wa uaminifu wako
 Viniongoze vinipeleke kwako,
 katika hekalu lako takatifu
- Nami nitajongea altare ya Mungu
 Mungu wa furaha yangu nami nitakusifu
 Moyo wangu kwani wasikitika
- Nafsi yangu kwa nini kuinama na kufadhaika
 Umtumaini Mungu, kwani yeye ndiye nguvu zako
- Sifa kwa Baba na mwana na roho mtakatifu
 Kama toka mwanzo, na sasa na milele. amina.
 
  
         
                            