Nitajongea Meza

Nitajongea Meza
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)
SourceMagomeni Tanzania

Nitajongea Meza Lyrics

Nitajongea Meza yako Bwana (Yesu)
Yesu Mwana wa Mungu unishibishe

  1. Wewe ni mkate wa uwinguni, unishibishe
  2. Wewe ni maji ya uzima, niburudishe
  3. Wewe ni mzabibu nami ni tawi nistawishe
  4. Wewe msamaha kwa watu wote, nihurumie
  5. Wewe msaada wa uwingu, uniongoze
  6. Wewe ni njia ya uwingu, uniongoze
  7. Nazo furaha za uwingu, ukanijaze
  8. Niishi nawe ee Yesu, mwema milele