Nitakushukuru Bwana

Nitakushukuru Bwana
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumHabari Tuliyoleta (Vol 6)
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerA Muyonga
Views6,264

Nitakushukuru Bwana Lyrics

  1. { Nitakushukuru Bwana
    Bwana siku zote za maisha yangu, milele } *2
    { Unanilinda siku zote za maisha yangu
    Ni mema mengi Bwana unayonijalia
    Ni mema mengi yasiyo na hesabu } *2

  2. Kwanza Mungu umeniumba mimi kwa upendeleo mwingi, sana,
    Kati ya viumbe vyote, viumbe vyote, viumbe vyote
  3. Nitakushukuru kwa sababu, umenijalia akili, pia,
    Na utashi wa kujua mema mabaya mema mabaya