Login | Register

Sauti za Kuimba

Nitakushukuru Bwana Lyrics

NITAKUSHUKURU BWANA

@ A Muyonga

{ Nitakushukuru Bwana
Bwana siku zote za maisha yangu, milele } *2
{ Unanilinda siku zote za maisha yangu
Ni mema mengi Bwana unayonijalia
Ni mema mengi yasiyo na hesabu } *2

  1. Kwanza Mungu umeniumba mimi kwa upendeleo mwingi, sana,
    Kati ya viumbe vyote, viumbe vyote, viumbe vyote
  2. Nitakushukuru kwa sababu, umenijalia akili, pia,
    Na utashi wa kujua mema mabaya mema mabaya
Nitakushukuru Bwana
COMPOSERA Muyonga
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMHabari Tuliyoleta (Vol 6)
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
MUSIC KEYD Major
  • Comments