Nitamhimidi Bwana

Nitamhimidi Bwana
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJohn Mgandu
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 34
Musical Notes
Time Signature3
8
Music KeyC Major
NotesOpen PDF

Nitamhimidi Bwana Lyrics

{ Nitamhimidi Bwana,
Kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu } *2
Katika Bwana nafsi yangu (nafsi yangu) itajisifu
(itajisifu) wanyenyekevu wasikie wafurahi
Mtukuzeni Bwana (Bwana) pamoja nami
(pamoja nami) tuliadhimishe jina lake pamoja
Bwana nafsi yangu (nafsi yangu) itajisifu
(itajisifu) wanyenyekevu wasikie wafurahi
Mtukuzeni Bwana (Bwana) pamoja nami
(pamoja nami) tuliadhimishe jina lake pamoja

  1. Nalimtafuta Bwana akanijibu
    Akaniponya na hofu zangu zote
  2. Wakamwelekea wakatiwa nuru
    Wala nyuso zao hazitaona haya
  3. Maskini aliita Bwana akasikia
    Akamuokoa na taabu zake zote