Nitatangaza Neno
Nitatangaza Neno | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 14,979 |
Nitatangaza Neno Lyrics
- Nitatangaza neno lake Bwana
Kwa mataifa mbalimbali oo - Na Uganda - waimbe na kumsifu Bwana
Na Wakenya - waimbe na kumsifu Bwana - Nitatangaza neno lake Bwana
Kwa makabila mbali mbali oo
Na wakamba
Na Waluhya ... - Nitatangaza Neno lake Bwana
Katika miji mbalimbali oo
Nairobi ...
Na Mombasa