Nitayasimulia Matendo
| Nitayasimulia Matendo | |
|---|---|
| Performed by | St. Cecilia Zimmerman | 
| Album | Nitasimulia Matendo (Vol 6) | 
| Category | Thanksgiving / Shukrani | 
| Composer | J. C. Shomaly | 
| Views | 6,423 | 
Nitayasimulia Matendo Lyrics
- Nitayasimulia matendo yako Bwana
 Mungu wangu unayenipa nafasi tele
 Unayejua kuishi kwangu siku zote
 Mungu wangu unayenipa nafasi teleUlinijua Bwana tangu ningali tumboni
 Maisha yangu umepanga yangali vema
 Mimi niutazame uso wako katika haki
 (Na sasa) Niamkapo nishibishwe!
 Nishibishwe! Nishibishwe (eeeh)
 Niamkapo nishibishwe
 Nishibishwe kwa sura yako
- Umenipa uhai na hewa ya kutosha -
 Mvua pia jua za kunilisha mimi -
- Elimu maarifa yasiyo na kifani -
 Niko na miguu nimejua kufanya kazi -
- Kazi zangu zote umenipa wewe Bwana -
 Ninajua wengi siyo kama mimi Bwana -
- Kwa hayo yote sina budi kukushukusu -
 Wabariki yatima pia mama wajane -
 
  
         
                            