Njoo Moyoni
| Njoo Moyoni | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Views | 4,595 |
Njoo Moyoni Lyrics
- Njoo moyoni mwangu Bwana *2
Unishibishe mwili wako –
Unishibishe kwa mwili wako Bwana YesuUlisema alaye mwili wako
Ana uzima (iye iye) wa milele
Ulisema anywaye damu yako
Ana uzima (iye iye) wa milele - Njoo moyoni mwangu Bwana *2
Niburudishe kwa damuyo –
Niburudishe kwa damu yako Bwana Yesu - Mimi ni mdhambi ee *2
Unisafishe kwa damuyo –
Unisafishe kwa damu yako Bwana Yesu - Kaa ndani yangu ee Bwana *2
Na mimi nikae ndani yako –
Na mimi nikae ndani yako Bwana Yesu