Njoo Tule Mana
| Njoo Tule Mana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Views | 3,117 |
Njoo Tule Mana Lyrics
[s] Njoo tule mana- Mana ya Kristu mana
[s] Njoo tule mana,
[t] Aa mana ya Kristu *2- Kila tulapo mwili wake Yesu na kunywa damu yake
Twatangaza kifo chake mpaka atakaporejea - Mkate kutoka nganoni ya nchi, hugeuzwa mwili wake
Kwenye ibada ya misa tuule ili tupate wokovu - Divai iliyo ya mizabibu, hugeuzwa damu yake
Kwenye ibada ya misa tuinywe ili tupate wokovu - Njooni tule mana yake Yesu , iliyotoka Mbinguni
Ni chakula cha roho, tuile tumeshiba daima